national logo

YAHUSU HUDUMA YA KLINIKI KATIKA HOSPITALI YA KILEMA

  • Loading Image

  • Hospitali teule ya Kilema inapenda kuwatangazia kuwa kuanzia tarehe 19.06.2023 kutakuwa na huduma zifuatazo:- i. Daktari bingwa wa upasuaji kila siku ya Jumatano kuanzia saa tatu (3:00) asubuhi. ii. Daktari bingwa wa kinamama kila siku ya Jumanne na Jumatano kuanzia saa tatu (3:00) asubuhi. iii. Daktari bingwa wa mifupa kila siku ya Jumatano saa tatu (3:00) asubuhi. Gharama ya kumuona daktari bingwa ni shilingi elfu ishirini tu (20,000). KARIBUNI SANA.