national logo

HUDUMA ZINAZOTOLEWA MASAA 24 KILEMA HOSPITALI

  • Huduma hizo ni kama zifuatazo;

    1. Huduma ya wagonjwa wa nje
    2. Huduma ya wagonjwa wa ndani
    3. Huduma ya upasuaji (mkubwa au mdogo)
    4. Huduma ya vipimo vyote vya maabara
    5. Huduma ya mionzi (x-ray na ultrasound)
    6. Huduma ya kipimo cha moyo (ECG na ECHO)
    7. Huduma za ushauri, kupima VVU na dawa (CTC Services)
    8. Huduma ya mama na mtoto (RCH Clinic services)
    9. Huduma ya macho (Optometry clinic)
    10. Huduma ya afya ya kinywa na meno (Dental surgery clinic)
    11. Huduma ya kuhifadhi maiti (Mortuary)
    12. Huduma ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi (ICU)
    13. Huduma ya dharura (Emergency)
    14. Huduma ya mazoezi (Physiotherapy)
    15. Huduma ya gari la wagonjwa (Ambulance)

    WASILIANA NASI KWA MAELEZO ZAIDI.